Plots for Sale

Featured
from$3800000

Overview

Hivi viwanja vinapatikana Kigamboni Mwembe Mtengu. Kama unatokea Ferry baada ya Kibada -Mwikwambe na kama unatokea Mbagala baada ya Kongowe- Tuangoma. Vipo kilomita 1.5 tokea Barabara ya Lami. Piga 0711677199.
Ni viwanja Vizuri sana na vimepimwa kimtaa. Vimezungukwa na huduma kama maji, Umeme, Shule, Hosptali, na mji umejengeka vizuri. Bei ni nafuu sana.
Ukubwa wa futi 50 X 50 Milion 3.8
Ukubwa wa futi 50 X 60 Milion 4.5
Ukubwa wa futi 50 X 80 Milion 5
Unaweza kuunganisha vikubwa zaidi nakuendelea.
Unaweza kulipia kwa awamu, unatanguliza nusu au zaidi, nyingine utapewa muda wa miezi miwili kumalizia. Kwa maelezo zaidi piga 0711677199.

Details

  • Home Area:
    2500 sqft
  • Lot dimensions:
    50x50
  • Price:
    from$3800000
  • Property Status:

Page Views

Be the first to review “Plots for Sale”