NYUMBA INAUZWA IKO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAAM

$90000000
Beds: 6

Overview

Nyumba inauzwa milioni tisini maongezi yapo, nyumba ipo mbagala chamazi mkoa wa dar es salaam, nyumba ina vyumba vinne vya kulala viwili ni master bedroom, seatingroom, dinning room, public toilet, jiko, store, umeme na maji vinapatikana, full tiles ndani kote, paving blocks zipo, ipo ndani ya fance yenye uwezo wa kupaki magari 8 madogo, kutoka barabara kubwa ya lami mpaka nyumba ilipo ni kilometa 1 tu, nyumba iko katika mtaa mzuri ambao huduma zote za kijamii zinapatikana kwa ukaribu.
NB-KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA HII 0687940887

Details

  • Beds:
    6
  • Price:
    $90000000
  • Property Status:

Page Views

Be the first to review “NYUMBA INAUZWA IKO MBAGALA CHAMAZI MKOA WA DAR ES SALAAM”

Related Properties