Overview
Ni nyumba nzuri sana (apartments ya wapangaji 3 tu) na ni ya kisasa inapangishwa sekei idara maji, nyumba ina sifa zifuatazo;
1 Ni selfu ya two bedroom ina master na public toilet
2 Nyumba ina jiko kubwa sitting nzuri, mazingira safi
3 Kila mtu luku yake na mita ya maji, parking ipo
4 Mita 400 toka lami, wahi si ya kukosa kabisa hii
Kodi yake kwa mwezi ni 200,000/=
Kodi ilipwe kuanzia miezi 3 nakuendelea
According to Dalali
☎️? +255753147673
Details
-
Beds:2
-
Baths:2
-
Price:$200000
-
Property Status: