Overview
Ni nyumba nzuri sana inapangishwa kwa mrefu, nyumba ina sifa zifuatazo;
1 Ni selfu ya chumba sebule choo ndani,mazingira safi
2 Nyumba ina parking kubwa, maji yapo umeme upo
3 Umbali wake toka lami ni mita 200 hivi wahi
Kodi yake kwa mwezi ni 110000/=
Kodi ilipwe kuanzia miezi 3 nakuendelea
According to Dalali
☎️? +255753147673
Details
-
Price:110000
-
Property Status: